Steve Nash: Durrant bado sana Mshambuliaji nyota wa Brooklyn Nets, Kevin Durrant. Kocha wa Brooklyn Nets, Steve Nash amesema mchezaji wake nyota, Kevin Durrant anaendelea vizuri lakini bado anahitaji wiki mbili zaidi za kujiweka sawa kabla ya kurejea uwanjani. Read more about Steve Nash: Durrant bado sana