Erling Haaland mshambuliaji bora kijana wa Dortimund anayetarajiwa kung'aa katika hatua zijazo za ligi ya mabingwa
Ushindi wa timu ya Bayern Munich wa 2-1 dhidi ya Lazio na ule wa Chelsea wa 2-0 dhidi ya Atletico Madrid umefanya kukamilisha kwa timu 8 zilizofuzu hatua ya robo fainali ya ligi ya mabingwa Ulaya.