Real Madrid yatinga robo fainali baada ya miaka 3

Mabingwa wa kihistoria wa michuano ya klabu bingwa barani Ulaya, Klabu ya Real Madrid imetinga hatua ya robo fainali ya michuano hiyo baada usiku wa kuamkia leo kuitoa klabu ya Atalanta ya Italia kwa kuifunga mabao 3-1 na kufuzu kwa jumla ya mabao 4-1 kwenye michezo miwili ya mtoano.

Pages

Subscribe to East Africa Television RSS