Msanii wa filamu Dude alivyotembelewa na baadhi ya ndugu, jamaa na marafiki alivyopata ajali
Msanii wa filamu Bongo Kulwa Kikumba maarufu kama Dude amesema mwaka jana 2020 haukuwa mwaka mzuri kwake kwani alipata ajali tatu za kutoa uhai wake lakini anamshukuru Mungu alifanikiwa kutoka salama.