Maelekezo ya Hayati Magufuli kutimia Julai 1 Hospitali ya wilaya ya Wanging'ombe Ujenzi wa Hospitali ya wilaya ya Wanging'ombe mkoani Njombe unatarajiwa kukamilika na kuanza kutoa huduma zote za afya kuanzia Julai 1, 2021. Read more about Maelekezo ya Hayati Magufuli kutimia Julai 1