Maji yalivyonusuru ndoa kuvunjika
Wananchi wa kijiji cha Chimati kilichopo wilaya ya Nyasa mkoani Ruvuma wameishukuru serikali kwa kuwaletea mradi mkubwa wa maji ambao umewasaidia kuondokana na kero mbalimbali ikiwemo kuvunjika kwa baadhi ya ndoa kutokana na kufuata maji umbali mrefu.