Wanafainali wakutanishwa robo fainali UEFA 2021

Wachezaji wa liverpool na Real Madrid wakiwania mpira kwenye mchezo wa ligi ya mabingwa ulaya

Mabingwa wa England klabu ya Liverpool, imepangwa kucheza dhidi ya Real Madrid kwenye Ligi ya Mabingwa Ulaya hatua ya robo fainali kwenye droo iliyochezeshwa leo Machi 19, 2021 wakati wanafainali wa msimu uliopita Bayern Munich na PSG wamepangwa kuminyana tena.

Pages

Subscribe to East Africa Television RSS