Vita ya KO na kulinda heshima yatangazwa rasmi
Wanamasumbwi wa uzito wa juu kutoka Uingereza Anthony Joshua na Tyson Fury, wamesaini mkataba wa makubaliano ya kupigana mapambano mawili, pambano hilo linalotajwa kuwa kubwa kwenye historia ya masumbwi, na pambano la kwanza linatarajiwa kufanyika kati ya mwezi Juni na Julai mwaka huu.