Rais Samia amuagiza Jafo kwa mara ya mwisho

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan (kushoto) na Waziri wa Nchi Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa (TAMISEMI), Mhe. Selemani Jafo.

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan amemuagiza Waziri wa Nchi Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa (TAMISEMI), Mhe. Selemani Jafo kufuatilia upotevu wa fedha katika ofisi yake na endapo atashindwa kufanya hivyo atoe taarifa asaidiwe.

Pages

Subscribe to East Africa Television RSS