Maelfu ya watu Mwanza wamuaga Magufuli

Wananchi wa Mwanza waliojitokeza kumuaga Hayati Dkt. John Magufuli

Maelfu ya wakazi wa Jiji la Mwanza na wa maeneo jirani wamejitokeza kuuaga mwili wa aliyekuwa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Hayati Dkt. John Magufuli, katika Uwanja wa CCM Kirumba Jijini humo.

Pages

Subscribe to East Africa Television RSS