Bocco na matumaini ya Taifa Stars kufuzu AFCON

Mshambuliaji wa Taifa Stars, John Bocco (kulia) akiwa na kiungo Himid Mao (kushoto).

Mshambuliaji wa timu ya taifa ya Tanzania 'Taifa Stars', John Bocco amesema ana matumaini makubwa Stars ina nafasi ya kufanya vizuri na kufuzu michuano ya kimataifa ya Afrika kwa timu za taifa 'AFCON' 2021 itakayofanyika nchini Cameroon.

Pages

Subscribe to East Africa Television RSS