Marais 11 kumuaga Dk. Magufuli 

Rais wa Kenya Uhuru Kenyatta, Kulia ni Rais wa Msumbiji Filipe Nyusi

Msemaji Mkuu wa Serikali Dkt. Hassan Abbas amesema hadi sasa marais 11 wemethibitisha kuungana na Watanzania  katika kumuaga na kuomboleza kifo cha aliyekuwa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli mkoani Dodoma.

Pages

Subscribe to East Africa Television RSS