Mbunge akerwa Watanzania kuitwa wanyonge

Mbunge wa viti maalum Mh. Conchesta Rwamlaza

Mbunge wa viti maalum Mh. Conchesta Rwamlaza amesema Watanzania sio wanyonge bali wanauwezo wakipangiwa mipango mizuri na kuelekezwa watasaidia kuleta maendeleo katika nchi.

Pages

Subscribe to East Africa Television RSS