Rais Magufuli afariki Dunia Machi 17, 2021
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. John Magufuli amefariki dunia leo Machi 17, 2021, majira ya saa 12:00 Jioni. Makamu wa Rais Mh. Samia Suluhu Hassan ametangaza kupitia Televisheni ya Taifa TBC.