Miquissone nje Al-Merrick dhidi ya Simba kesho?

Mshambuliaji wa Simba, Jose Luis Miquissone 'konde boy'.

Kocha wa klabu ya Simba, Didier Gomes da Rosa amesema ameamua kumpumzisha mchezaji huyo ili aweze kuwa na utimamu wa mwili kuelekea mchezo wa kesho ambao Simba watakuwa wenyeji wa Al- Merrick ya Sudan kwenye mchezo wa mzunguko wa pili wa kundi A michuano ya klabu bingwa Afrika.

Pages

Subscribe to East Africa Television RSS