Wema atangaza zawadi ya Milioni 1 kwa mbwa wake Wema Sepetu na Mbwa wake Vanilla Ni headlines za staa wa filamu Wema Sepetu ambaye kupitia mtandao wa Instagram ametangaza kupotelewa kwa mbwa wake na ameahidi kutoa Tsh Milioni 1 kwa atakayeweza kumpata. Read more about Wema atangaza zawadi ya Milioni 1 kwa mbwa wake