"Simjui Kajala, ndio nani" - Msami Baby
Ni 'headlines' za msanii na mkali wa kucheza Msami Baby ambaye amejitokeza na kusema hamjui Kajala Masanja ndio nani baada ya kuwa na uvumi mitandaoni unasemekana aliwahi kuwa na mahusiano ya kimapenzi na msanii huyo wa filamu.