Fahamu wasanii ambao hawapaswi kufanyakazi UNFPA

Warren Bright, Mkuu wa Mawasiliano wa Shirika la Umoja wa Mataifa la Idadi ya Watu Duniani kwa upande wa Tanzania (UNFPA)

Mkuu wa Mawasiliano wa Shirika la Umoja wa Mataifa la Idadi ya Watu Duniani kwa upande wa Tanzania (UNFPA), Warren Bright, amesema kuwa shirika hilo haliwezi kufanya kazi na wasanii wanaopenda kiki na kudhalilisha wanawake kupitia mitandao ya kijamii wakiamini kufanya hivyo wana-trend.

Pages

Subscribe to East Africa Television RSS