Mechi ya Man United dhidi ya West Ham wikiendi hii, Odds kubwa kupitia Meridianbet
Zikiwa imesalia michezo 10 tu kabla ya msimu huu wa EPL kumalizika, kila timu inajitutumua kuhakikisha inamaliza msimu katika nafasi nzuri. Vivyo hivyo kwenye Ligi mbalimbali barani Ulaya.