Kama si Motsepe nani tena Urais CAF?

Patrice Motsepe mgombea pekee wa Urais CAF

Mkutano mkuu wa 43 wa Shirikisho la Soka Africa (CAF) unatarajiwa kufanyika leo tarehe 12/03/2021 nchini Morocco, katika mji wa Rabat, ambapo moja ya ajenda kuu muhimu ni uchaguzi wa Rais, wajumbe na Marais wa kamati mbalimbali.

Pages

Subscribe to East Africa Television RSS