Chanzo cha Malaika kutoongea na Baba yake mwaka 1
Msanii wa kike wa BongoFleva Malaika amesema wakati anaanza muziki alikutana na changamoto ambayo ilimfanya kumaliza mwaka mzima bila ya kufanya mazungumzo na baba yake ambaye alikuwa anaamini muziki ni uhuni.