Waliomteka Mchina Arusha wakamatwa Dar Kamanda wa Polisi mkoa wa Arusha ACP Justine Masejo Jeshi la Polisi mkoa wa Arusha linawashikilia watu wawili kwa tuhuma za kumteka mtu mmoja raia wa China ambaye ni mfanyakazi wa kampuni ya Bonanza ya Jijini Arusha. Read more about Waliomteka Mchina Arusha wakamatwa Dar