Harmorapa Ahaha, apata kigugumizi kuhusu Paula

Kushoto ni msanii Harmorapa, kulia ni Paula mtoto wa Kajala

Msanii Harmorapa amepata kigugumizi kizito kutoa maelezo baada ya ku-post picha ya mtoto wa staa wa filamu hapa nchini Kajala Masanja aitwaye Paulah kwenye siku ya wapendanao Februari 14.

Pages

Subscribe to East Africa Television RSS