Sababu ya AFCON U17 kufutwa, Tanzania itakuwaje ? Sehemu ya kikosi cha Serengeti Boys Michuano ya AFCON kwa timu za taifa za vijana chini ya umri wa miaka 17, iliyokuwa ifanyike nchini Morocco, kuanzia Machi 13 mpaka Machi 31 mwaka 2021 imefutwa. Read more about Sababu ya AFCON U17 kufutwa, Tanzania itakuwaje ?