Stamina afunguka kuhusu mama mtoto wake 

Msanii wa HipHop Stamina

Msanii wan HipHop Stamina Shorwebwenzi amei-dedicate siku hii ya wanawake duniani kwenda kwa mama wa mtoto wake kwa kusema ni mpambanaji pia alikuwa anakaa getini kukusanya pesa wakati anafanya show mikoani.

Pages

Subscribe to East Africa Television RSS