"Mwanamke angeabudiwa"- Idris Sultan Mchekeshaji Idris Sultan Mchekeshaji maarufu nchini Tanzania Idris Sultan, amesema kuwa mwanamke ni kiumbe ambaye anaipa Dunia kila kitu anachokipenda na kwamba Mungu asingekuwepo basi yeye angeabudiwa. Read more about "Mwanamke angeabudiwa"- Idris Sultan