Guardiola atamba lakini atahadharisha jambo
Kocha wa Manchester City, Pep Guardiola amesema anajivunia kiwango bora cha timu yake lakini amekitahadharisha kikosi chake kuwa wamahitaji muendelezo wakupata matokeo mazuri ili wakusanye alama nyingi zaidi na kumpora ubingwa, bingwa mtetezi klabu ya Liverpool.