Meridian Bet yasaidia ujenzi kituo cha yatima Uongozi wa kampuni ya kubashiri matokeo ya Meridian Bet imetoa mkono wa faraja kwenye kituo cha kulea watoto yatima cha Mama wa Huruma kilichopo Madale, Dar es Salaam. Read more about Meridian Bet yasaidia ujenzi kituo cha yatima