Mgogoro wa Mahindi Kenya na Tanzania, Bashe aongea

Naibu Waziri Wizara ya Kilimo Hussein Bashe akiwa na viongozi wengine mpaka wa Namanga.

Siku moja baada ya kuzagaa kwa taarifa kwenye mitandao ya kijamii, za serikali ya Kenya kuzuia uingizwaji wa mahindi kutoka Tanzania, Naibu Waziri Wizara ya Kilimo Hussein Bashe, amefika katika eneo la mpaka wa Namanga kujionea hali halisi ya undani wa jambo hilo.

Pages

Subscribe to East Africa Television RSS