Ujumbe wa Marekani kwa Rais wa Tanzania
Makamu wa Rais wa Marekani Bi. Kamala Harris amemtumia salamu za pongezi Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Samia Suluhu Hassan baada ya kuapishwa kwake kuwa rais kufuatia kifo cha aliyekuwa Rais Dkt. John Magufuli Machi 17, 2021.