Picha kubwa ni Mimi Mars picha ndogo ni Vanessa Mdee
Vanessa Mdee arudi bongo kuna nini, hilo ni jibu ambalo amelitoa msanii Mimi Mars baada ya kuulizwa kuhusiana na dada yake Vanessa Mdee ambaye kwa sasa anaishi nchini Marekani na mpenzi wake Rotimi.