Baby John afunguka mazito kuhusu jinsia yake Mwenyekiti wa Tanzania Voice of Humanity, Baby John Mwenyekiti wa Tanzania Voice of Humanity Baby John amesema kutokana na changamoto ukamilifu wa viungo vya uzazi wakati wa kuzaliwa kwake ndiyo vinafanya kushindwa kuitwa mwanamke au mwanaume. Read more about Baby John afunguka mazito kuhusu jinsia yake