Mrithi wa Maalim Seif apatikana Othman Masoud Othman Sharif, Makamu wa Kwanza wa Rais wa Zanzibar mteule Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dkt Hussein Ali Mwinyi, amemteua Othman Masoud Othman Sharif, kuwa Makamu wa Kwanza wa Rais wa Zanzibar. Read more about Mrithi wa Maalim Seif apatikana