Mwinyi abaini hili katika kipindi chake cha urais

Rais wa Zanzibar Dkt. Hussein Ali Mwinyi.

Rais wa Zanzibar Dkt. Hussein Ali Mwinyi amesema miongoni mwa mambo aliyoyabaini ndani ya muda mfupi tangu ateuliwe kuwa Rais wa Zanzibar ni wanachi kukosa sehemu ya kuwasilisha changamoto zao.

Pages

Subscribe to East Africa Television RSS