Jina la mrithi wa Maalim Seif tayari 

Aliyekuwa Makamu wa Rais wa kwanza Zanzibar na Mwenyekiti wa chama hicho Maalim Seif Sharif Hamad

Kiongozi wa Chama cha ACT-Wazalendo Zitto Kabwe amesema tayari wameshapendekeza jina la atakayemrithi aliyekuwa Makamu wa Rais wa kwanza Zanzibar na Mwenyekiti wa chama hicho Maalim Seif Sharif Hamad aliyefariki dunia tarehe 17 mwezi huu.

Pages

Subscribe to East Africa Television RSS