Waziri ampa mkandarasa siku 7
Naibu Waziri wa Maji Maryprisca Mahundi, ametoa siku 7 kwa mkandarasi Petty Construction, kurudisha pampu ya kusukumia maji aliyoiondoa baada ya kunyang'anywa mradi wa maji wa Nyamtukuza uliokwama kwa miaka saba na kusababisha adha ya maji wilayani Nyang'hwale.