Amfumania mumewe ndani ya miezi miwili tu ya ndoa
Mwalimu wa mahusiano na ndoa Rosemary Mallya, amesema kuwa yeye aliamua kufanya kila kitu ili kuleta amani katika ndoa yake baada ya kumfumania mume wake ikiwa imepita miezi miwili tu tangu wafunge ndoa yao.