Kaimu Mwenyekiti wa Chama cha ACT Wazalendo Dorothy Semu
Chama cha ACT Wazalendo kimemteua Dorothy Semu kuwa Kaimu Mwenyekiti wa Chama hicho Kitaifa kufuatia kifo cha Mwenyekiti wa Chama hicho kitaifa Maalim Seif Hamad kilichotokea tarehe 17/02/2021.