Yanga yatoa tamko kuhusu Haji Manara Msemaji wa Simba, Haji Manara. Klabu ya Yanga kupitia kwa Makamu Mwenyekiti wake Fredrick Mwakalebela, imesema tayari imeshachukua hatua dhidi ya Afisa Habari wa Simba SC Haji Manara kwa kitendo cha kuchafua Chapa yao. Read more about Yanga yatoa tamko kuhusu Haji Manara