Malengo ni kumchapa Al Ahly- Matola
Kocha msaidizi wa Simba SC Selemani Matola amesema wamejipanga kuhakikisha wanashinda mchezo wao wa kundi A wa ligi ya mabingwa Afrika dhidi Al Ahly Misri mchezo utakao chezwa kesho jijini Dar es salaam, wakati nahodha John Bocco anaimani mbizu za benchi la ufundi zitawapa ushindi kesho.