Rais wa Real Madrid, Perez akutwa na Covid-19
Rais wa klabu ya Real Madrid ya nchini Hispania, Fiorentino Perez mchana wa leo tarehe 2 Februari 2021 amekutwa na maambukizi ya Covid-19 na kuchukua tahadhari ya kujiweka karantini ili maambukizi hayo yasienee kwa watu wengine klabuni hapo.