Simba yatwaa ubingwa wa Simba Super Cup

Kombe la Simba Super Cup

Klabu ya soka ya Simba SC imeibuka Mabingwa wa michuano ya Simba Super Cup baada ya kufikisha pointi 4 ambazo hazijafikiwa na washiriki wengine Al Hilal na TP Mazembe.

Pages

Subscribe to East Africa Television RSS