Tuchel atimuliwa PSG, hizi hapa namba zake
Klabu ya PSG imemfuta kazi kocha Thomas Tuchel, ikiwa ni masaa machache baada ya kukiongoza kikosi hicho kuibuka na ushindi wa mabao 4-0, dhidi ya Strasbourg na kocha wa zamani wa Tottenham, Mauricio Pochettino anatajwa kama mbadala wake.