Kushoto ni Naibu Waziri wa Mifugo na Uvuvi, Pauline Gekul na kulia ni Mkuu wa Mkoa wa Manyara, Joseph Mkirikiti
Naibu Waziri wa Mifugo na Uvuvi, Pauline Gekul amewataka wale wote wanaojihusisha na uvuvi usiozingatia sheria na taratibu kuacha mara moja kwani Serikali haitakuwa na huruma kwa watakaokamatwa.