Rais Magufuli atoa ahadi kwa Rais Mwinyi

Rais Magufuli (kulia) na Rais Mwinyi (kushoto)

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Magufuli ameahidi kufanya kazi kwa ukaribu mkubwa na Rais wa Zanzibar na Serikali ya Mapinduzi ya Zanzibar Dr. Hussein Mwinyi.

Pages

Subscribe to East Africa Television RSS