Rais Magufuli apendekeza tena jina la waziri Mkuu

Kushoto ni Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. John Magufuli na kulia ni Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa.

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. John Magufuli, leo amependekeza jina la Mhe. Kassim Majaliwa, Mbunge wa Ruangwa kuwa Waziri Mkuu.

Pages

Subscribe to East Africa Television RSS