Tommy Flavour wa Alikiba akata mzizi wa fitna

Msanii Tommy Flavour

Msanii wa lebo ya Kings Music ya Alikiba Tommy Flavour amesema hataki kufananishwa na wasanii wengine ambao wapo kwenye menejmenti zingine kwa sababu kila mtu ana mikakati yake kwenye suala zima la kufanya kazi.

Pages

Subscribe to East Africa Television RSS