Ligi ya Taifa ya kikapu yaunguruma Nyota wa timu ya mpira wa kikapu ya JKT Tanzania, Baraka Sadick akionyesha ufundi wake. Ligi ya mpira wa kikapu ya Taifa NBL(National Basketball League) inaendelea kuunguruma katika viwanja vya Don Bosco Jijini Dar es salaam. Read more about Ligi ya Taifa ya kikapu yaunguruma