Simiyu: Minada yasitishwa kupisha uchaguzi
Mkuu wa mkoa wa Simiyu, Anthony Mtaka, amesitisha minada na magulio yote mkoani humo siku ya uchaguzi mkuu ya Oktoba 28, 2020, ili kutoa nafasi kwa wananchi kwenda kupiga kura kumchagua Rais, wabunge na madiwani wanaowataka.