Ahadi ya Rais Magufuli kwa wafanyakazi
Mgombea Urais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kupitia Chama cha Mapinduzi (CCM), Dkt. John Magufuli ameahidi endapo atapatiwa ridhaa na watanzania ya kuongeza kwa miaka mitano ijayo ataongeza mishahara kwa watumishi wa umma.